Charles Lutwidge Dodgson, au Lewis Carroll (Daresbury 27 Januari 1832Guildford 14 Januari 1889), alikuwa mwandishi wa riwaya nchini Uingereza. Hususani anafahamika zaidi kwa riwaya yake ya Alice's Adventures in Wonderland (1865) na Through the Looking-Glass, and What Alice Found There (1871).

Lewis Carroll

Viungo vya nje

hariri


  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lewis Carroll kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.