Lewis Furey, (aliyezaliwa kwa jina Lewis Greenblatt 7 Juni, 1949), ni mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mpiga filimbi, mpiga kinanda, mwigizaji, na mkurugenzi wa filamu wa Kanada.[1][2]

Furey akiwa kwenye seti ya *Fantastica*.

Marejeo

hariri
  1. Chantal Gauthier and Betty Nygaard King (2011). "Furey, Lewis". The Canadian Encyclopedia. https://www.thecanadianencyclopedia.ca/en/article/lewis-furey-emc. Retrieved 9 June 2011.
  2. Very comprehensive overview, Vivonzeureux Fanzine, in French
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lewis Furey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.