Leyla Hussein
Leyla Hussein Obe (kwa Kisomali: Leyla Xuseen; alizaliwa huko Somalia mnamo mwaka 1980 [1][2]) ni mwanaharakati wa kijamii na mwanzilishi wa mradi wa Dahlia[3].
Mwaka 2020, Leyla Hussein alichaguliwa kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha St Andrews.
Maisha
haririWazazi wake walikuwa wataalamu. Hussein baadaye alihamia Uingereza ili kupata elimu yake ya sekondari, alipata stashada ya uzamili ya kwanza katika ushauri wa matibabu kutoka Chuo Kikuu cha Thames Valley.[4] pia ana mtoto mmoja wa kike.[5].
Marejeo
hariri- ↑ "Leyla Hussein". Kompany. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "How I Survived Female Genital Mutilation", Staying Alive Foundation, 18 June 2014. Retrieved on 2021-07-20. Archived from the original on 2014-10-06.
- ↑ "Leyla Hussein | Campaigner". leylahussein.com (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-13. Iliwekwa mnamo 2017-10-15.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Leyla Hussein". Daughters of Eve. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-07-15. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2014.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The Cruel Cut". Channel 4. Iliwekwa mnamo 3 Oktoba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leyla Hussein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |