Lidköping ni mji na manispaa nchini Uswidi. Kuna wakazi 24,941 (mwaka 2005). Mji ulianzishwa 1446.

Jiografia hariri

Eneo lake ni 14.95 km². Umbali na Jiji la Göteborg ni 130 km.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lidköping kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.