Liemarvin Bonevacia
Liemarvin Bonevacia (alizaliwa Willemstad, Curacao, 5 Aprili 1989) ni mwanariadha wa Uholanzi.
Maisha ya kazi
haririAlikuwa ni mmoja kati ya wanne walioshiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya joto kama "mwanariadha anayejitegemea".[1][2]Bonevacia alimaliza kwenye mita 400 na alitolewa kwenye nusu fainali , alivopata majeraha kwenye mshipa wa paja la kulia na kumaliza wa mwisho.[3][4]
Marejeo
hariri- ↑ "Liemarvin BONEVACIA | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.
- ↑ "Liemarvin Bonevacia - Athletics - Olympic Athlete | London 2012". web.archive.org. 2012-07-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-22. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.
- ↑ "Olympics Site Closed | Olympics at Sports-Reference.com". www.sports-reference.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-06. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.
- ↑ "Drama voor Bonevacia in Londen - CuracaoSPORT.com". web.archive.org. 2014-05-19. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-19. Iliwekwa mnamo 2021-12-02.