5 Aprili
tarehe
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Aprili ni siku ya 95 ya mwaka (ya 96 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 270.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1288 - Go-Fushimi, mfalme mkuu wa Japani (1298-1301)
- 1588 - Thomas Hobbes, mwanafalsafa wa Uingereza
- 1904 - Richard Eberhart, mshairi kutoka Marekani
- 1929 - Ivar Giaever, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973
- 1947 - Gloria Arroyo, Rais wa Ufilipino
- 1950 - Agnetha Fältskog, mwanamuziki kutoka Uswidi
- 1982 - Lacey Duvalle, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1990 - Rhianna Ryan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1419 - Mtakatifu Vincent Ferrer, padri wa Shirika la Wahubiri kutoka Hispania
- 1744 - Mtakatifu Maria Kresensya Hoess, mmonaki kutoka Ujerumani
- 1902 - Hans Buchner, daktari Mjerumani
- 1967 - Hermann Muller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1946
- 2005 - Saul Bellow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1976
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Vincent Ferrer, Irene wa Thesalonike, Ferbuta, Wafiadini 120 wa Uajemi, Wafiadini wa Arbal, Jeradi wa Corbie, Alberto wa Montecorvino, Juliana wa Cornillon, Katerina Tomas, Maria Kresensya Hoess n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 6 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |