Lilias Armstrong
Lilias Eveline Armstrong (29 Septemba 1882 – 9 Desemba 1937) alikuwa mwanafonetiki wa Uingereza.
Lilias Eveline Armstrong | |
Amezaliwa | Pendlebury, Lancashire, England | 29 Septemba 1882
---|---|
Amekufa | 9 Desemba 1937 (umri 55) North Finchley, Middlesex, England |
Elimu | B.A., University of Leeds, 1906 |
Ndoa | Simon Boyanus (m. 1926) |
Alifanya kazi katika chuo kikuu cha London, ambapo alipata kiwango cha msomaji.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Jones, Daniel (1963). Everyman's English Pronouncing Dictionary (tol. la 12th). London: Dent. uk. xxix; Windsor Lewis, Jack (1985). "British Non-Dialect Accents". Zeitschrift für Anglistik und Amerikanistik. 33 (3): 248. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Julai 2017.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lilias Armstrong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |