Linda Sokhulu
Linda Sokhulu ni mwigizaji wa filamu wa Afrika Kusini; mwaka 2014 alipokea tuzo ya Africa Movie Academy Award kama mwigizaji bora wa kike.
Taaluma
haririKuanzia mwaka 2004 aliigiza kama Cleo Khuzwayo katika tamthilia ya Generations.[1] Mnamo Mwaka 2013, Sokhulu aling'ara katika filamu ya kwanza aliyoshirikishwa kama nyota katika filamu ya Felix, alipata kuingia katika tuzo ya South African Film and Television Awards na Africa Movie Academy Awards akiwa kama muigizaji bora wa kike.[2] pia alishinda tuzo katika tamasha la Durban International Film Festival.[3][4][5] Mwaka 2007,
Filamu
hariri- Isidingo [6]
- Generations (2004 - 2007)
- A Place Called Home (2006)
- Ubizo: The Calling (2007)
- Shreds and Dreams (2010 & 2014)
- Felix (2013)
- Rhythm City (2019)
Maisha binafsi
haririSokhulu alizaliwa tarehe 13 Septemba 1976 katika mji wa Durban, pia alitumia miaka yake mingine katika mji wa Umlazi.[7] alisoma katika chuo cha Cambridge College mwaka 1994 na kujifunza fasheni huko Technikon Natal.[8]
Marejeo
hariri- ↑ admin (2017-11-01). "Linda Sokhulu biography". TV SA. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
- ↑ "Full list of nominees for 2014 Africa Movie Academy Awards". myjoyonline.com. 2017-03-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-28. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Linda Sokhulu on her movie debut". Destinyconnect.com. 2013-09-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-20. Iliwekwa mnamo 2017-11-11.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ admin (2017-11-01). "Felix wins Audience Award at Durban International Film Festival". africultures.com. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
- ↑ reporter (2017-11-11). "Felix wins three more awards". NFVF. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
- ↑ Ijozi (2017-11-01). "Beauty treatment goes wrong for Isidingo actress Nikiwe sibeko 'Linda Sokhulu'". Ijozi.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-24. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Linda Sokhulu is 40 today". mytvnews.co.za. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
- ↑ "WHO IS LINDA SOKHULU?". Dailymedia Nigeria. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-07. Iliwekwa mnamo 2017-11-01.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Linda Sokhulu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |