Lindsey Collen
Mwandishi wa Afrika ya Kusini
Lindsey Collen (Alizaliwa Mqanduli, Umtata, Transkei, Afrika Kusini, mwaka 1948) ni mwandishi wa riwaya na mwanaharakati. Alishinda tuzo za kawaida za uandishi wa kitabu bora wa Afrika miaka 1994 na 2005.
Kazi yake ilitokea katika mtaala mpya wa kimataifa, naye ni mwanachama wa Lalit de Klas.
Ndoa hariri
Aliolewa na Ram Seegobin. Anaishi Mauritius.
Vitabu hariri
- Komye fwa mo finn trap enn pikan ursen, Ledikasyon pu travayer, 1997.
- Natir imin: Mauritian Creole & English versions, Ledikasyon pu travayer, 2000.
Hadithi hariri
Kumbukumbu hariri
- Felicity Hand Universitat Autonoma de Barcelona) (2010-08-26). "Literary Encyclopedia | Lindsey Collen". Litencyc.com. Retrieved 2014-08-22.
- Commonwealth Prize. "Commonwealth Prize". Africabookclub.com. Retrieved 2014-08-22.
Canada. "Lindsey Collen - New Internationalist". Newint.org. Retrieved 2014-08-22.
- "Lindsey Collen - International Viewpoint - online socialist magazine". International Viewpoint. Rerieved 2014-08-22.
- "Lindsey Collen". The Feminist Press. 2014-05-03. Archived from the original on 2014-08-26. Retrieved 2014-08-22
- "Lindsey Collen - Lindsey Collen". Bloomsbury. Retrieved 2014-08-22.
- "Lindsey Collen - Lindsey Collen". Bloomsbury. Retrieved 2014-08-22.
Tanbihi hariri
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lindsey Collen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |