Linongot ni aina ya chakula cha kitamaduni miongoni mwa watu wa Kadazan-Dusun katika jimbo la Sabah nchini Malaysia. [1]Imetengenezwa kwa unga wa tapioca, viazi vitamu na jani la tarap/irik.[2]

Viungo Vy Nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Fun and games, and food, at the Kaamatan Festival". Insight Sabah. 31 Mei 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Agosti 2013. Iliwekwa mnamo 19 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Untitled Document".