Lita
Lita ni kipimo cha mjao cha 10,000 cm³. Hii inalingana na mchemraba wa sentimita 10x10x10 au desimita ya mjao moja.
Lita ya maji ina masi ya kilogramu moja. Kifupi chake ni herufi L.
Lita ni kipimo cha kawaida wakati wa kushughulika kiowevu katika maisha ya kila siku. Maji, maziwa na bia huuzwa mara nyingi katika chombo cha lita moja au nusu lita.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lita kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |