Live from SoHo
Live from SoHo ni albamu ya kwanza ya Taylor Swift iliyofanywa moja kwa moja wakati anatumbuiza katika ukumbi. Ilitolewa mnamo 15 Januari 2008 [1] ikiwa kama toleo kali la EP la iTunes. Ilirekodiwa katika Soho Apple Store mjini New York.
Live from SoHo: Taylor Swift | |||||
---|---|---|---|---|---|
Live album ya Taylor Swift | |||||
Imetolewa | 15 Januari 2008 | ||||
Aina | Country | ||||
Urefu | 27:30 | ||||
Lebo | Big Machine | ||||
Wendo wa albamu za Taylor Swift | |||||
|
Orodha ya nyimbo
hariri- "Umbrella" (Rihanna Cover) – 1:29
- "Our Song" (Taylor Swift) – 3:29
- "Teardrops on My Guitar" (Taylor Swift, Liz Rose) – 3:24
- "Should've Said No" (Taylor Swift) – 4:27
- "A Place in this World" (Taylor Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo Petraglia) – 3:24
- "Mary's Song (Oh My My My)" (Taylor Swift, Liz Rose, Brian Dean Maher) – 3:47
- "Tim McGraw" (Taylor Swift, Liz Rose) – 4:00
- "Picture to Burn" (Taylor Swift, Liz Rose) – 3:33
Marejeo
hariri- ↑ "allmusic: Live from SoHo (Overview)". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-08-01.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Live from SoHo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |