Taylor Swift

Taylor Alison Swift (amezaliwa tar. 13 Desemba 1989) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa country-pop kutoka nchini Marekani. Alitoa kibao chake cha kwanza, "Tim McGraw", mnamo mwaka wa 2006 akiwa na umri wa miaka 16.

Taylor Swift
Taylor Swift akitumbuiza katika café.
Taylor Swift akitumbuiza katika café.
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Taylor Alison Swift
Amezaliwa 13 Desemba 1989 (1989-12-13) (umri 30)
Aina ya muziki Country pop
Kazi yake Mwimbaji-mtunzi wa nyimbo
Ala Gitaa, piano
Miaka ya kazi 2006 – Mpaka sasa
Studio Big Machine Records
Ame/Wameshirikiana na Miranda Lambert, Kellie Pickler, Danielle Peck, Brad Paisley
Tovuti Tovuti Rasmi ya Taylor Swift

Ameshinda tuzo ya CMT "Video Bora ya Mwaka" mnamo 2007 kwa ajili ya wimbo wa "Tim McGraw". Pia alishindanishwa kwenye tuzo za Academy of Country Music akiwa kama "Mwimbaji Chipukizi wa Kike".

WasifuEdit

Maisha ya awaliEdit

DiskografiaEdit

Albamu za StudioEdit

Mwaka Albamu US Country US CAN Country CAN
2006 "Taylor Swift" 1 5 1 14
2008 "Fearless" 1 1 1 1

Single zakeEdit

Mwaka Wimbo US Country US Hot 100 US Pop 100 US AC Albamu
2006 "Tim McGraw" 6 40 43 Taylor Swift
2007 "Teardrops on My Guitar" 2 33 42 5
"Our Song" 10 39 58
2008 "Picture to Burn" 3 28 49
"Should've Said No" 1 33 61
"Love Story" 1 4 3 2 Fearless
"White Horse" 1 13 23

Tim McGraw, Teardrops On My Guitar, Our Song, Picture To Burn, na Should've Said No. You Belong with me.

TuzoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taylor Swift kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.