Liz Walker

ukarasa wa maana wa Wikimedia


Liz Walker ni raia wa Marekani na ni mchungaji wa kanisa aliyestaafu katika fani yake ya uandishi wa habari.

Liz Walker

Nchi Marekani
Kazi yake Mchungaji
Cheo Mchungaji


Alikuwa mwanamke wa kwanza mweusi kushiriki katika kutangaza habari katika kituo cha newscast jijini Boston Massachusetts, Marekani. Ndipo akaenda kwenye uchungaji katika Roxbury Presbyterian Churchmnamo mwaka 2014[1].

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liz Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.