Lol (jimbo)
Lol State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Lol State | |
Mahali pa Lol katika Sudan Kusini | |
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Raga |
Idadi ya kaunti | 11 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Rezik Zechariah Hassan |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 251,160 |
Imegawanyika katika kaunti 11: Eri County, Gomjuer West County, Gomjuer East County, Korok West County, Korok East County, Kuru County, Majakbai County, Marialbai County, Malual North County, Malual Centre County na Ringi County.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lol (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |