Loma Rucilla ni mlima mrefu wa pili nchini Jamhuri ya Dominika na katika Karibi kwa jumla.

Una kimo cha mita 3,039 juu ya UB.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Loma Rucilla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.