Karibi
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Karibi ni neno la kutaja
- Wakaribi walikokuwa wenyeji wa visiwa upande wa mashariki ya Amerika ya Kati wakati wa kufika kwa Kristoforo Kolumbus
- Bahari ya Karibi ni bahari ya pembeni ya Atlantiki mbele ya mwambao wa Amerika ya Kati
- Visiwa vya Karibi ni jina la kutaja funguvisiwa na visiwa mbalimbali -jumla ni takriban 7.000- katika Bahari ya Karibi kama vile Barbados, Kuba, Hispaniola, Jamaika, Trinidad, Antili Ndogo