Loris Francesco Capovilla

Loris Francesco Capovilla (14 Oktoba 191526 Mei 2016) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia na kardinali.

Loris Francesco Capovilla

Alipofariki dunia, alikuwa askofu mzee zaidi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia na wa nne kwa umri duniani kote. Wakati wa kupandishwa kwake kuwa kardinali mwaka 2014, alikuwa mwanachama mzee zaidi wa Baraza la Makardinali.

Capovilla alihudumu kama katibu binafsi wa Papa Yohane XXIII kuanzia mwaka 1958 hadi 1963.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Profile: CAPOVILLA, Loris Francesco". Cardinals of the Holy Roman Church. Iliwekwa mnamo 22 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.