Lorna Dee Cervantes
Mwandishi wa Marekani
Lorna Dee Cervantes (alizaliwa Agosti 6, 1954) ni mshairi na mwanaharakati wa haki za Wamarekani wenye asili ya Meksiko, ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa watu mashuhuri zaidi katika ushairi wa watu hao. Ametajwa na Alurista, kama mshairi bora zaidi wa kundi hilo. [1]
Marejeo
hariri- ↑ ENotes.com bio Ilihifadhiwa 27 Mei 2011 kwenye Wayback Machine. (accessed March 2008)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lorna Dee Cervantes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |