Lorraine Lisiecki

Mtafiti wa hali ya hewa paleo wa kimarekani

Lorraine Lisiecki ni Mmarekani aliyebobea katika masuala ya utabiri wa hali ya hewa na mabadiliko ya hali ya hewa ya nchi ,pia ana taaluma katka idara ya sayansi ya dunia kutoka katika Chuo kikuu cha California.

Alitoa mapendekezo yaliyo orodheshwa kuwa miongoni ya matatizo 100,000 yanayojitokeza duniani yanachangiwa au yanapelekewa na mabadiliko ya hali ya hewa chini. Pia Lorraine alitengeneza program ambayo itasaidia kupunguza changamoto ya mabadiliko ya hali ya hewa yanayo sababishwa na shughuli za kilasiku za uzalishaji LR04, pia akaanza kuwasilisha historia ya mabadiliko ya hali ya hewa kwa miaka milioni tano iliyopita. [1]

Elimu hariri

Lorraine Lisiecki alihitimu masomo yake mnamo mwaka 1995 huko Afrika kusini katika shule ya South Carolina Governor’s School for Science and Mathematics [2] akiwa na taaluma katika masomo la sayansi na hesabu na hatimae kubobea zaidi katika masomo ya sayansi ya mazingira. Katika utafiti wa hivi karibuni unasema kuwa Lisiecki amakuwa ni mbobezi katika masuala ya utabiri wa mabadiliko ya hali ya hewa. Lisiecki amekuwa akivutiwa sana kufanya chunguzi mbali mbali kuhusina na mabadiliko ya hali ya hewa ya nchi.

Marejeo hariri

  1. "Geological Society of America - Honors & Awards". www.geosociety.org. Iliwekwa mnamo 2023-05-23. 
  2. "Who We Are | SC Governor's School for Science and Mathematics". www.scgssm.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-23. 
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lorraine Lisiecki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.