Chuo Kikuu cha California
Chuo Kikuu cha California (University of California - UC) ni mfumo wa elimu unaounganisha vyuo vikuu vilivyo chini ya jimbo la California, Marekani.
Mfumo wote wa Chuo Kikuu cha California huwa na wanafunzi zaidi ya 220,000 na walimu pamoja na wafanyakazi wengine zaidi ya 170,000[1]
Chuo kilianzishwa mnamo 1868 kwenye kampasi ya kwanza mjini Berkeley.
Kampasi
hariri- Chuo Kikuu cha California, Berkeley
- Chuo Kikuu cha California, Davis
- Chuo Kikuu cha California, Irvine
- Chuo Kikuu cha California, Los Angeles
- Chuo Kikuu cha California, Merced
- Chuo Kikuu cha California, Riverside
- Chuo Kikuu cha California, San Diego
- Chuo Kikuu cha California, San Francisco
- Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara
- Chuo Kikuu cha California, Santa Cruz
- Chuo Kikuu cha California, Chuo cha Sheria cha Hastings kinasimamiwa kando na mfumo wote wa UC.
Tovuti nyingine
haririVidokezo
haririMakala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha California kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |