Louise Glück
Louise Elisabeth Glück (amezaliwa 22 Aprili 1943) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1993 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Louise Glück kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |