Lovro Majer
Mchezaji wa kandanda wa chama cha Croatia
Lovro Majer (alizaliwa 17 Januari 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Croatia, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Croatia.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lovro Majer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |