Lubaga ni kata ya Manisipaa ya Shinyanga katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 10,101 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,042 waishio humo [2].

Lubaga ni sehemu iliyostaarabika kwa kiasi kikubwa kwa wakazi wake na iliyotoa watu maarufu kama Big.com, msanii katika tasnia ya muziki wa hip hop Tanzania.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Shinyanga mjini - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania  

Chamaguha | Chibe | Ibadakuli | Ibinzamata | Kambarage | Kitangili | Kizumbi | Kolandoto | Lubaga | Masekelo | Mjini | Mwamalili | Mwawaza | Ndala | Ndembezi | Ngokolo | Old Shinyanga


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Shinyanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lubaga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.