Lucas Perez
Mchezaji wa soka wa Hispania
Lucas Pérez Martínez (matamshi ya Kihispania: [lukas peɾeθ maɾtineθ]; alizaliwa 10 Septemba 1988) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji kwenye ligi kuu ya Uingereza katika klabu ya West Ham United.
Perez kabla ya kusajiliwa na West Ham ametokea kwenye klabu ya Arsenal.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lucas Perez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |