Lucy Burns
Mtetezi wa haki za wanawake wa Marekani (1879-1966)
Lucy Burns ( 28 Julai 1879 – 22 Desemba 1966 ) alikuwa mtetezi wa haki za wanawake wa nchini Marekani..[1] Alikuwa mwanaharakati mwenye shauku huko Marekani na Uingereza, alijiunga na wanamgambo. Burns alikuwa rafiki wa karibu wa Alice Paul, na pamoja hatimaye waliunda chama cha Taifa cha wanawake cha National Woman's Party .[2]
Lucy Burns | |
Amekufa | 22 Desemba 1966 |
---|---|
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwana arakati |
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lucy Burns kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |