Lucy Hope (alizaliwa 10 Oktoba 1996 [1]) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uskoti ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Everton inayoshiriki katika Ligi kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uskoti.[2]

Marejeo hariri

  1. "Everton's Lucy Graham Is Now Lucy Hope!". www.evertonfc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. "Ladies Sign Scotland Midfielder Graham". www.evertonfc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucy Hope kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.