Lucy Staniforth

Mchezaji wa mpira wa miguu (alizaliwa 1992)

Lucy Elizabeth Staniforth-Wilson (alizaliwa 2 Oktoba 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uingereza ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza pamoja na klabu ya Aston Villa[2] inayoshiriki Ligi ya Wanawake (WSL).[3]

Staniforth akichezea Uingereza mnamo 2019

Marejeo hariri

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-06-06. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  2. Aston Villa Football Club (2023-01-09). "Lucy Staniforth joins Aston Villa Women!". Aston Villa Football Club. Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  3. The Football Association. "Staniforth joins standby list". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lucy Staniforth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.