Lucy Thomas Mayenga

mwanasiasa kutoka Tanzania

Lucy Thomas Mayenga (amezaliwa tarehe 23 Agosti 1977) ni mbunge wa viti maalumu katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. [Mengi kuhusu Lucy Thomas Mayenga. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2011-11-04. Mengi kuhusu Lucy Thomas Mayenga]