Lugha ya pili ni lugha yoyote ambayo inatumika katika mazingira ya mtoto fulani anayojifunza, isipokuwa lugha mama.

Ni tofauti na lugha ya kigeni, kwa sababu hiyo haipatikani katika mazingira yake.

Pengine inaitwa lugha ya pili hata lugha ambayo mtu amejifunza kwa makusudi na pengine kuitumia sana baada ya utoto.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya pili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.