Lugha za Kigunwinyguan
(Elekezwa kutoka Lugha za Kigunwingguan)
Lugha za Kigunwinyguan (au Kigunwingguan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya kumi ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Northern Territory.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kigunwinyguan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |