Lugha za Kigunwinyguan

Lugha za Kigunwinyguan (au Kigunwingguan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya kumi ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Northern Territory.

Eneo la lugha za Kigunwinyguan barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kigunwinyguan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.