Lugha za Kiyirram
Lugha za Kiyirram ni kundi la lugha za Kimirndi nchini Australia. Katika kundi hilo kuna lugha mbili: Kijaminjung na Kinungali.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiyirram kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |