Lugha za Kimirndi ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna vikundi viwili ambavyo lugha zake huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory: lugha za Kiyirram na lugha za Kibarkly.

Eneo la vikundi vya Kimirndi barani mwa Australia: lugha za Kiyirram (rangi ya kizambarau) na za Kibarkly (rangi ya buluu)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kimirndi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.