Lugha za Tanzania ni nyingi, hakukuwa na lugha yoyote ambayo inazungumzwa asilia na watu wengi au idadi kubwa ya watu.

Familia za lugha za Tanzania.

Kiswahili na Kiingereza, ambacho mwisho kilirithiwa kutoka kwa utawala wa kikoloni (tazama Tanganyika Territory), huzungumzwa na watu wengi kama Lingua franka, zinatumika kama lugha za kazi nchini, na Kiswahili kikiwa lugha rasmi na ya kitaifa. [1] Kuna wazungumzaji wengi wa Kiswahili kuliko Kiingereza nchini Tanzania. [2]

Tanbihi hariri

  1. "Tanzania Profile". Tanzania Gov. Tanzanian Government. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-02. Iliwekwa mnamo 23 July 2017.  Check date values in: |accessdate= (help). Tanzania Gov. Tanzanian Government. Archived from the original on 2 August 2017. Retrieved 23 July 2017.
  2. "Tanzania". Ethnologue. Iliwekwa mnamo 12 June 2014.  Check date values in: |accessdate= (help)"Tanzania".
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.