Luhaga Joelson Mpina

Luhaga Joelson Mpina (amezaliwa tar. 5 Mei 1975) ni mbunge wa jimbo la Kisesa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Mhe. Luhaga Mpina Mb


Mbunge wa Kisesa
Aliingia ofisini 
Decemba 2005

tarehe ya kuzaliwa 5 Mei 1975 (1975-05-05) (umri 49)
utaifa Mtanzania
chama CCM
mhitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe (B.Acc)
Chuo Kikuu cha Strathclyde (MSc)

2005 alichaguliwa mara ya kwanza kuwa mbunge akarudishwa katika chaguzi za 2010, 2015 na 2020. 2017 - 2020 alikuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi katika serikali ya rais John Magufuli[2].

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Luhaga Joelson Mpina". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. Profile Hon. Luhaga Joelson Mpina, tovuti la Bunge la Tanzania, iliangaliwa Septemba 2022