5 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Mei ni siku ya 125 ya mwaka (ya 126 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 240.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1747 - Kaisari Leopold II wa Ujerumani
- 1846 - Henryk Sienkiewicz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1905
- 1921 - Arthur Schawlow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1981
- 1956 - Jay Rosen, mwandishi Mmarekani
- 1982 - Petr Čech, mchezaji wa mpira kutoka Ucheki
Waliofariki
hariri- 1705 - Kaisari Leopold I wa Ujerumani
- 1821 - Napoleon Bonaparte, Kaisari wa Ufaransa
- 1921 - Alfred Fried, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1911
- 1949 - Maurice Maeterlinck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1911
- 1959 - Carlos Saavedra Lamas, mwanasiasa wa Argentina na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1936
- 1977 - Ludwig Erhard, Chansela wa Ujerumani (1963-1966)
- 1988 - Michael Shaara, mwandishi kutoka Marekani
- 2010 - Umaru Yar'Adua, Rais wa Nigeria (2007-2010)
- 2014 - Hassan Ilunga, Sheikh na mwanaharakati wa Kiislamu kutoka nchini Tanzania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Joviniani wa Auxerre, Eutimio wa Aleksandria, Masimo wa Yerusalemu, Brito, Hilari wa Arles, Niseti wa Vienne, Geronsi wa Milano, Morandi wa Douai, Saserdosi wa Limoges, Gotardo wa Hildesheim, Leo wa Africo, Avertino, Anjelo wa Yerusalemu, Nunzio Sulprizio n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |