Luhaga Joelson Mpina
(Elekezwa kutoka Luhanga Mpina)
Luhaga Joelson Mpina (amezaliwa tar. 5 Mei 1975) ni mbunge wa jimbo la Kisesa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Mhe. Luhaga Mpina Mb | |
Mbunge wa Kisesa
| |
Aliingia ofisini Decemba 2005 | |
tarehe ya kuzaliwa | 5 Mei 1975 |
---|---|
utaifa | Mtanzania |
chama | CCM |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Mzumbe (B.Acc) Chuo Kikuu cha Strathclyde (MSc) |
2005 alichaguliwa mara ya kwanza kuwa mbunge akarudishwa katika chaguzi za 2010, 2015 na 2020. 2017 - 2020 alikuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi katika serikali ya rais John Magufuli[2].
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Mengi kuhusu Luhaga Joelson Mpina". 21 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
- ↑ Profile Hon. Luhaga Joelson Mpina, tovuti la Bunge la Tanzania, iliangaliwa Septemba 2022
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |