Luis Federico Leloir (6 Septemba 19062 Desemba 1987) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Argentina. Hasa alichunguza athari za kabohaidreti kwa nishati mwilini. Mwaka wa 1970 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Luis Leloir
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luis Leloir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.