Kikabaras

(Elekezwa kutoka Lukabarasi)

Kikabaras (au Lukabaras) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Waluyia. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikabaras imehesabiwa kuwa watu 253,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikabaras iko katika kundi la E30.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikabaras kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.