Waluhya
(Elekezwa kutoka Waluyia)
Waluhya (pia: Abaluhya au Luyia) ni kabila kubwa la pili katika Kenya (16% za wakazi wote) wakikalia hasa upande wa Magharibi. Wako pia Uganda na Tanzania. Jumla yao inakadiriwa kuwa milioni 5.3.
Katika Kenya kuna koo 18, Uganda koo 4 na Tanzania ukoo mmoja wa Kiluhya. Koo kubwa zaidi ni Wabukusu, Wamaragoli, Wawanga, Wanyore, Waidakho, Wakisa, Waisukha, Watiriki, Wakabras, Wagisu na Wasaamia.
Kabila | Lugha [1] | ISO 639-3 | Kaunti |
---|---|---|---|
Wabukusu | Lubukusu | bxk | Bungoma (Kenya) |
Waidakho | Luidakho | ida | Kakamega (Kenya) |
Waisukha | Luisukha | ida | Kakamega (Kenya) |
Wakabras | Lukabarasi | lkb | Kakamega (Kenya) |
Wakhayo | Olukhayo | lko | Busia (Kenya) |
Wakisa | Olushisa | lks | Kakamega (Kenya) |
Wamaragoli (Waavalogoli) | Lulogooli | rag | Kakamega, Vihiga (Kenya) |
Wamarachi | Olumarachi | lri | Busia (Kenya) |
Wamarama | Olumarama | lrm | Kakamega (Kenya) |
Wanyala | Lunyala | nle | Busia (Kenya) |
Wanyole | Olunyole | nyd | Vihiga (Kenya) |
Wasamia | Lusamia | lsm | Busia, Kakamega - Uganda |
Watachoni | Lutachoni | lts | Kakamega (Kenya) |
Watiriki | Lutirichi | ida | Vihiga (Kenya) |
Watsotso | Olutsotso | lto | Kakamega (Kenya) |
Wawanga | Oluwanga | lwg | Kakamega (Kenya) |
Tanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Profile of the Luhya People
- AFC Leopards Football Club Ilihifadhiwa 31 Januari 2022 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waluhya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |