Lunguya
Lunguya ni kata ya Wilaya ya Msalala katika Mkoa wa Shinyanga, Tanzania. Kata hii inapakana na kata za Segese, Bugarama na Chela.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 23,050 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,307 waishio humo.[2]
Kabla ya uhuru Kata hiyo ilikuwa chini ya Mtemi Kelela. Katika karne ya 20 kijiji hicho kilikuwa na malenga maarufu aliyejulikana kwa jina la Wandela ambaye alizaliwa mnamo mwaka 1922 na kufariki tarehe 5 Novemba 2005.
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Msalala - Mkoa wa Shinyanga - Tanzania | ||||
---|---|---|---|---|
Bugarama | Bulige | Bulyan'hulu | Busangi | Chela | Ikinda | Isaka | Jana | Kashishi | Lunguya | Mega | Mwakata | Mwalugulu | Mwanase | Ngaya | Ntobo | Segese | Shilela
|