Luxor
Luxor (kwa Kiarabu: الأقصر al-uksur) ni mji katika Misri ya Kusini. Mnamo mwaka wa 2012, karibu watu 506,588 waliishi huko. [1] Inatembelewa na watalii wengi sana kutoka kote duniani sababu ya mahekalu ya Luxor na Karnak.
Luxor imejengwa juu ya sehemu ndogo ya Thebes iliyokuwa mmoja wa miji mikubwa ya Misri ya Kale na mara kadhaa mji mkuu wa nchi. [2]
Upande wa pili wa Mto Nile, unaotazama Luxor, kuna Bonde la Wafalme na Hekalu la Hatshepsut kwenye eneo linaloitwa Deir Bahri.
Picha za Luxor
haririMarejeo
hariri- ↑ "World Gazetteer - Egypt: largest cities and towns and statistics of their population". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-10. Iliwekwa mnamo 2021-03-13.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://archive.today/20121210181859/http://www.world-gazetteer.com/wg.php?x=
ignored (help) (retrieved 2010-7-27) - ↑ "Luxor, Egypt". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-04-19. Iliwekwa mnamo 2021-03-13.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help)
Tovuti nyingine
hariri- Theban Mapping Project: website devoted to the Valley of the Kings and other sites in the Theban Necropolis
- Luxor World Heritage Site in panographies Archived 2012-12-09 at Archive.today - 360 degree interactive imaging
- GCatholic Copic epachy
- Kamil, Jill. "The Development Plan for Luxor", Al-Ahram Weekly, Issue No. 921, November 2008. Retrieved on 2021-03-13. Archived from the original on 2009-08-06.
- Luxor Temple picture gallery Archived 2010-08-25 at the Wayback Machine at Remains.se
Makala hii kuhusu maeneo ya Misri bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Luxor kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |