Lydia Wabs
Lydia Chepkemoi (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lydia Wabs; amezaliwa tarehe 1 Januari 1998) ni mwimbaji kutoka nchini Kenya.
Lydia Wabs | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Lydia Chepkemoi |
Pia anajulikana kama | Wabsly |
Amezaliwa | 1 Januari 1998 |
Asili yake | Kitale,Kenya |
Aina ya muziki | Bongo Flava |
Kazi yake | Mwimbaji-mtunzi, mtayarishaji wa rekodi |
Ala | Piano, sauti |
Miaka ya kazi | 2017–mpaka sasa |
Studio | Dapstrem Entertainment |
Ame/Wameshirikiana na | Dabby K DJ LYTMAS |
Tovuti | Tovuti Halisi |
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lydia Wabs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |