Lynde Bradley Uihlein

Mrithi wa marekani

Lynde Bradley Uihlein; (alizaliwa 1945) ni mrithi na mfadhili wa Marekani.[1][2]

Maisha ya Awali hariri

Lynde Bradley Uihlein alizaliwa Milwaukee, Wisconsin mwaka 1945. Mama yake alikuwa Jane Bradley Pettit, mfadhili. Babu yake mzaa mama alikuwa Harry Lynde Bradley, mwanzilishi mwenza shirika la Allen-Bradley na Bradley Foundation pamoja na mjukuu wake, Lynde Bradley. Baba yake alikuwa David Vogel Uihlein, Sr., mrithi wa Joseph Schlitz Brewing Company. Baba yake babu yake alikuwa August Uihlein.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lynde Bradley Uihlein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.