Mülheim an der Ruhr

Mülheim an der Ruhr (Mülheim a. d. Ruhr) ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Ruhr. Idadi ya wakazi wake ni takriban 167,471. Mji ulianzishwa 1093.

Mji wa Mülheim an der Ruhr






Mülheim an der Ruhr

Bendera

Nembo
Mülheim an der Ruhr is located in Ujerumani
Mülheim an der Ruhr
Mülheim an der Ruhr

Mahali pa mji wa Mülheim an der Ruhr katika Ujerumani

Majiranukta: 51°26′0″N 6°53′0″E / 51.43333°N 6.88333°E / 51.43333; 6.88333
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 167,471
Tovuti:  www.muelheim-ruhr.de

Tazama pia

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mülheim an der Ruhr kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.