Mažeikiai (kwa Kisamogitia: Mažeikē) ni mji na manispaa nchini Lituanya.

Bažnyčios gatvė (Njia ya kanisa)

Eneo lake ni km² 14.

Kuna wakazi 40,788 (mwaka 2007).

Mji ulianzishwa 1290.

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mažeikiai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.