Mb Dogg : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.250.226.239 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na InternetArchiveBot Tag: Rollback |
Vyote Tags: Reverted KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu |
||
Mstari 1:
JINA HALISI:Mbwana Mohamed Ally.
KUZALIWA 17/5/1983 TANGA
KABILA MDIGO
FAMILIA YA WATOTO WATANO
BABA FUNDI MWASHI MJENZI MCHORA RAMANI ZA MAJENGO
MAMA MJASILIA MALI KAZI ZA MIKONO.
MAISHA BINAFSI:MKE NA WATOTO WANNE WAKIKE WAWILI WA KIUME WAWILI 1.WARDA 2.DIGNAA 3.MOHAMEDI 4.ADILI
MAKUZI YA UJANA DARE ES SALAM
ELIMU KIDATO CHA NNE
ELIMU YA DINI ISLAM (MADRASA)
ELIMU YA SANAA MAIGIZO (NGOMA)
KUANZA MUZIKI:ILIANZI MADRASA KWENYE ELIMU YA DINI UMRI WA UJANA NA HATIMAE KUGEUKIA MUZIKI WA DUNIA RAGA, DANCEHAL, HIPHOP
STAILI YA UIMBAJI YA KURAP (KUIMBA KWA SATAILI YA SAUTI NZITO KAMA DMX
HAPO NDIPO PALIPOPATIKANA JINA LA MBDOGG MB NI HERUFI ZA KWENYE JINA HALISI MBWANA NA DOGG KWA MAANA YA KIJANA AMBAE ANA UWEZO WA KUFANYA SAUTI NZITO ZA KUIMBA NA KURAP KWA PUMZI NDEFU BILA KUCHOKA "MAPAFU YA MBWA"
"PIA MB DOGG ALIKUWA KIPENZI CHA MNYAMA MBWA"
KUANZA MUZIKI RASMI MWAKA 1999 AKIWA NA KIJANA MWENZAKE AMBAE ANAITWA "MAN GOY" AKA GWATAMAN
NA KUUNDA KUNDI LILILOITWA "VICHWA VIGUMU" MWAKA 2000 NA KUFANIKIWA KUREKODI NYIMBO MOJA INAYOITWA "MPENZI RUDI"
LAKINI KABLA YA KUKAMILISHA NYIMBO HIZO MB DOGG ALIPATA NAFASI YA KUINGIA STUDIO ZA MJ RECORD AMBAPO ALIREKODI WIMBO UITWAO BONGO NEW YORK YEYE PEKE YAKE. WIMBO AMBAO ULIKWENDA RADIO LAKINI HAUKUPATA NAFASI RADIONI NA MTAYARISHAJI AKIWA PROFESA RUDIGO.
BAADAE WALIONGEZEKA WASHIRIKA WATATU CHELEA MAN, COPY PAMOJA NA MENEJA BULLA.
HAPO WALIFANIKIWA KUREKODI NYIMBO ZAO KAMA KUNDI "VICHWA VIGUMU" KWA MARA YA KWANZA MWAKA 2002 NDANI YA STUDIO ZA METRO STUDIO CHINI YA MTAYARISHAJI "KAMETA" NYIMBO HIZO NI KWANTAMPOLA, MAMA, TAMASHA, PENDO, KULA DENDA,
KWA BAHATI MBAYA NYIMBO HIZO HAZIKUFANIKIWA KUSIKIKA KWA KIPINDI HICHO ILA ZIPO MPAKA SASA NA MPANGO NI KUZIWEKA KIBIASHARA ZITOKE KAMA ALBUM.
VICHWA VIGUMU ILIVUNJIKA MWAKA 2003 BAADA YA MBDOGG KUPATA DILI LA REKODI LEBO KWENYE LEBO YA TIPTOP CONNECTION LAKINI ALIAMBATANA NA WASHIRIKA WENZAKE BAADHI MOJAWAPO AKIWA CHELEA MAN LAKINI CHELEA MAN HAKUFANIKIWA KUPATA NAFASI YA KUREKODI.
WAKATI ANAJIUNGA NA TIPTOP CONNECTION MBDOGG ALIKWENDA NA NYIMBO BAADHI KUTOKA VICHWA VIGUMU IKIWEMO ISHIKI CHANDENI PAMOJA NA MAIDA (LATIFA ORIGINAL VERSION) AMBAZO ZILIREKODIWA UPYA.
ISHIKI CHANDENI ILIREKODIWA NA "ERICO" NDANI YA STUDIO ZA SOUND CRAFTAZ.
NA MAIDA ILIREKODIWA FM STUDIO CHINI YA "DABO B"
NYIMBO HIZO PIA ZINAPATIKANA KWENYE ALBUM YAKE YA KWANZA.
MAISHA MAPYA NDANI YA KAMPUNI LEBO YA TIPTOP CONECTION.
KIPAJI CHA MBDOGG KILIONEKANA KWENYE MA TAMASHA YA MTAANI AMBAYO YALIPEWA MAJINA YA "KUZINDUA CAMP"
MSANII AHMAD ALLY SENEDA MADEE ALLY WA TIPTOP CONECTION ALIVUTIWA NA UWEZO WA MBDOGG NA KUTAKA KUFANYA NAE KAZI KTK MOJA YA NYIMBO ZAKE. AMBAYO ILIITWA MAPENZI YA MBALI KWA KUFANYA KIITIKIO AMBACHO BAADAE ALIKUJA KUFANYA MWANADADA "RAY C"
HAPO NDIO SAFARI MPYA YA MBDOGG ILIPOANZIA BAADA YA KUINGIA TIPTOP ALIPENDWA SANA NA MDHAMINI WA LEBO HIYO MAREHEMU "ABDUL BONGE*
R. I. P.
NA KUMDHAMINI GHARAMA ZOTE ZA STUDIO KIPAJI CHA MBDOGG KILIMVUTIA BOSI HUYO NA KUAMUA KUINGIA KWENYE MUZIKI.
NYIMBO YA KWANZA KUREKODI NDANI YA LEBO HIYO NI ISHIKI CHANDENI AMBAYO ILIRUDIWA UPYA PAMOJA NA MAIDA AMBAYO NDIO ILIITWA "LATIFA" MNAMO MWAKA 2004.
NYOTA YA MBDOGG ILIANZA KUWAKA HAPA NA KUWA MSANII MKUBWA NDANI NA NJE YA NCHI.
LATIFA
NI WIMBO AMBAO ULIBADILI UPEPO WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA MIAKA YA 2004 KWA KUJA NA STAILI TOFAUTI YA SAUTI ZA KUGHANI NA MELODI TAMU ZA NA TUNGO ZA MAPENZI LOVEY DOVEY "BAIBUDA"
WIMBO HUO ULIWEZA KUMPATIA MSANII MBDOGG TUNZO YA MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA WA TANZANI KTMA MUZIC AWARD MWAKA 2004/2005
HAPO NDIPO ILIIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGRNE MFANO ALI KIBA, MATONYA, SUMA LEE, Z ANTO, KASSIMU MGANGA, TUNDA MAN, SPARK, NA WENGINE WENGI WANAOFANYA MTINDO HUO WA NYIMBO ZA MAPENZI WAKIWEMO VIJANA WA SASA AKINA DIAMOND, HARMONIZE, RICH MAVOKO, NA WENGINE WENGI.
"MUASISI WA AINA YA MUZIKI HUO NI MBDOGG MNAMO MIAKA YA 2000/2003"
AKIWA TIPTOP CONECTION ALIFANIKIWA
KUTENGENEZA ALBUM MOJA AMBAYO ILITOKA MWAKA 2006 IKIWA NA NYIMBO KUMI SINGLE YAKE YA PILI ILITOKA MWAKA 2005 AMBAYO NDIO ILIBEBA JINA LA ALBUM SI ULINAMBIA BAADA YA ILE YA KWANZA LATIFA KUTOKA 2004.
NYIMBO ZA ALBUM YA KWANZA
SI ULINAMBIA
1.SI ULINAMBIA 2.SAFARI 3.MAISHA 4.LATIFA FT MADEE 5.SAY TIP TOP 6.MAPENZI KITU GANI FT CHELEA MAN
7.ISHKI CHANDENI FT VICHWA VIGUMU
8.SI ULINAMBIA PIANO ACAPELA
9.MAIDA FT BA4. 10.INAMANA FT MADEE
BAADA YA ALBUM HIYO KUTOKA KWENDA SOKONI ILIFANYA VZR SANA KWENYE MAUZO NA KUUZA NAKALA ZAIDI ZENYE THAMANI YA ZAID YA MILIONI 98ML.
PIA ALBUM HIYO ILIWEZA KUCHAGULKWA KUWA ALBUM BORA YA MWAKA 2006/2007 KATIKA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA NA KUWA ALBUM BORA YA MWAKA YA BONGO R&B. MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
ALBUM HII ILIMPA ZIARA MBALIMBALI NDANI NA NJE BARANI AFRICA IKOWEMO NCHI YA KENYA HASA UKANDA WA MOMBASA PIA NCHI KAMA BURUNDI FUKWE ZA SAGA PLASHA
KUACHANA NA LEBO YAKE YA TIPTOP CONNECTION 2007/2008
MBDOGG ALIACHANA NA LEBO YAKE BILA KUWEKA WAZI HASA SABABU ZA KUACHANA NA LEBO HIYO MPAKA LEO MBDOGG HAJAWAHI KUZUNGUMZA HASA SABABU NI NINI.
ALIANZA KAZI KUWA MSANII WA KUJITEGEMEA MWAKA 2008 ALIPOAMUA KURUDI NYUMBANI NA KUMUOMBA RAFIKI YAKE (KAKA YAKE) ASIMAMIE SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKOI NA KUFANIKIWA KUREKODI ALBUM YAKE YAKE YA PILI INAYOITWA "AKILI YANGU"
AMBAYO ILIKUWA NA VIBAO KUMI.
KIBAO CHA KWANZA CHA ALBUM HIYO KILITOKA MWAKA 2009 KWA JINA LA NATAMANI ALBUM HIYO HAIKUFANYA VZR SANA SOKONI KAMA YA AWALI SABABU YA MFUMO WA SOKO LA MUZIKI NCHINI TANZANIA ULIANZA KUPOROMOKA MAUZO YA ALBUM
WIMBO WA NATAMANI ULIFANIKISHA KUMPATIA MBDOGG TUZO YA MSANII BORA WA KIUME WA MWAKA 2009/2010.
MB DOGG AKIWA MSANII WA KUJITEGEMEA ALIUNGANA NA KAKA OMARY BAKARI YASSINI (BOKA BEKA) AMBAE ALIFANYA NAE KAZI AKIWA MSIMAMIZI WA KAZI ZAKE MWAKA 2008 MPKA 2010 AMBAE ALISIMAMIA ALBUM YA PILI NA SHUGHULI ZOTE ZAKE ZA MUZIKI WAKATI HUO.
NYIMBO ZA ALBUM YA PILI
AKILI YANGU
1.AKILI YANGU 2.NATAMANI 3.SUBI 4.KILIO CHANGU FT MAN WATER 5.APPLE FT BA4 6.TABIA YAKO FT MOS G 7.AKILI YANGU VERSION 2 8.SAGA PLASHER FT MADEE 9.UR ONLY MY HEART FT MOSS G 10.MI NAWE BASI FT NYOTA NSOGO
WATAYARISHAJI WALIOHUSIKA KWENYE ALBUM HIYO NI
MAN WATER NO 4,5,6,7,8, 9,10.
DUNGA AMBROSE NO. 2
P FUNK MAJANI NO.1&2
ALBUM YA AKILI YANGU ILITOKA MWAKA 2010.
2012 MBDOGG ALIPATA ZIARA YA NCH ZA NJE UKANDA WA SC AND NAVIA IKIWEMO NCHI YA UJERUMANI NA KUFANIKIWA KUFANYA SHOW KWENYE MIJI MBALIMBALI NCHINI HUMO... BAADA YA HAPO ALIAMUA KUFANYA MAKAZI YA MUDA KWA MUDA WA MIAKA MIWILI NA BAADAE MNAMO MWAKA 2015
ALIPORUDI TANZANIA ALIFUNGUA HOM STUDIO YA AUDIO NA KUIPA JINA LA MAKOPA REC AMBAPO ALIFANIKIWA KUREKODI BAADHI YA NYIMBO HAPO.
AMBAPO MWAKA HUO PIA ALIPATA DILK YA LEKODI LEBO AMBAYO ILIITWA Q S MHONDA CHINI YA USIMAMIZI WA Q S MHONDA MNAMO MWAKA 2015 MPKA 2017 NA KUFANIKIWA KUREKODI NYIMBO AMBAZO ZILITOKA KAMA SINGLE
NYIMBO HIZO NI 1.SIO SIRI, THE ONE & ONLY, UWE WANGU.. HIZI ZOTE ZILIFANYIKA KWENYE STUDIO YA MAKOPA REC KWA USIMAMIZI WA LEBO YA Q S MHONDA.
MBDOGG HAKUDUMU SANA NA HII LEBO PIA HAKUDUMU SANA NA HATIMAE HII LEBO KUFA MWAKA 2017/2018.KWA MATATIZO YA KIUCHUMI.
HAPO MBDOGG ALIAMUA KUKAA KANDO KHS MUZIKI NA KUSHUGHULIKA NA STUDIO YAKE BINAFSI KIBIASHARA.
MPAKA MNAMO MWAKA 2021 KUANZA KUANDAA ALBUM YAKE NYINGINE AMBAYO BADO HAJAIPA JINA MPAKA SASA
MWAKA 2021 MBDOGG ALITOA COMPILATION YENYE JUMLA YA NYIMBO 26 AMBAZO ZILIWAHI KUTOKA KAMA SINGLE NA ZILE AMBAZO HAZIKUWAHI KUTOKA KABISA MCHANGANYIKO HUU ALIUPA JINA LA (MBDOGG COMPILATION 2003/2007)
TUTEGEMEE KUMSIKIA MBDOGG MARA NYINGINE MWAKA HUU 2023 KURUDI KWENYE MUZIKI KWA MARA NYINGINE
==Marejeo==
|