Habari.

Kwa jina naitwa Idd Ninga,ni mhariri wa kijitolea katika mtandao wa Wikipedia ya Kiswahili,natokea mkoani Arusha. Napenda sana sanaa za kifasihi na uandishi wa vitabu.