Skauti : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
dNo edit summary |
/* KANUNI ZA SKAUTI: 1:Heshima ya skauti ni kuaminiwa. 2:kauti ni mzalendo kamili. 3:Skauti ni mtu wa kufaa nAkusaidia wengine. 4.Skauti ni rafiki kwa wote na ndugu kwa kila skauti.5.Skauti ni mwenye adabu kamili.6.Skauti ni mwenye huruma kwa viumbe.7S... |
||
Mstari 3:
{{fupi}}
==Kanuni za Skauti==
*1. Heshima ya skauti ni kuaminiwa.
*2. Skauti ni mzalendo kamili.
*3. Skauti ni mtu wa kufaa na kusaidia wengine.
*4. Skauti ni rafiki kwa wote na ndugu kwa kila skauti.
*5. Skauti ni mwenye adabu kamili.
*6. Skauti ni mwenye huruma kwa viumbe.
*7. Skauti ni mtiifu kamili.
*8. Skauti ni mchangamfu daima.
*9. Skauti ni mwangalifu wa mali zake na za wengine pia.
*10. Skauti ni safi katika mawazo,maneno,na matendo yake.
[[Jamii:Malezi]]
|